focusmedia Search This Blog

Thursday, September 20, 2018


KIVUKO CHA MV NYERERE KINACHOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA BUGORARA NA KISIWA CHA UKALA KATIKA ZIWA VICTORIA KIMEZAMA HUKU TAARIFA ZA IDADI YA WATU WALIOKUWEMO NDANI YA KIVUKO HAZIJAJULIKANA.

Tayari  Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere limesitishwa kutokana na giza, na litaendelea kesho alfajiri.ambapo hadi sasa waliyookolewa wakiwa hai ni 37, waliokufa 44. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.