focusmedia Search This Blog

Wednesday, November 15, 2017

MWISHO WA MUGABE: KIONGOZI WA ZIMBABWE NA MKEWAKE WAMETIWA KIZUIZINI CHINI YA JESHI LA ZIMBABWE IKIAMINIKA KUTOKEA MAPINDUZI NCHINI HUMO


Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka 93, na familia yake wako kizuizini baada ya jeshi la Zimbabwe kuendesha mapinduzi Nchini humo

 Mkuu wa jeshi la Zimbabwe, Mkuu Constantino Chiwenga , aliempinga Mugabe juu ya uamuzi wake wa kumtimua makamu wa rais Emmerson Mnangagwa,imetangazwa hali ya hatari Nchini Zimbabwe


Vyombo vya habari vya Zimbabwe vinasema kuwa makamu wa rais Emmerson Mnangagwa (suti ya bluu) alikuwa amerejea nchini na atachukua udhibiti 'kama kwa jeshi litamtaka afanye hivyo'




Vifaru via kijeshi vinaonekana na askari wenye silaha kwenye barabara inayoongoza Ofisi ya Rais Robert Mugabe huko Harare, Zimbabwe


Usiku wa kuamkia Jumatano