focusmedia Search This Blog

Saturday, July 21, 2018

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan Aanza Ziara Yake ya Siku Tano Mkoani Songe Tarehe 21/7/2018

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.