focusmedia Search This Blog

Thursday, January 19, 2017

VIONGOZI MKOA WA SIMIYU WAKUTANA NA WAWEKEZAJI WA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI YA NICKLE WA DUTWA

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu ikiwa katika mahojiano na wawekezaji wa mradi wa uchimbaji wa madini ya nickle wa Dutwa.

Wawekezaji hao, Dutwa Minerals Limited, wanatakiwa kutoa nafasi kuruhusu ujenzi wa tenki la maji, mradi utakaohudumia wakazi wa wilaya tatu za Mkoa huo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dr. Magufuli alipokuwa akitatua tatizo la maji alipofanya ziara mkoani humo siku chache zilizopita.

Mahojiano hayo yaliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mheshimiwa Anthony Mtaka, Katibu Tawala wa Mkoa Bwn. Jumanne Sagini na kuwajumuisha wajumbe wote walioko ziarani jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment