Mbali na wabunge kusafiri kwa mara ya kwanza kwa ndege (Air Tanzania) kwenda Dodoma, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa miongoni mwa abiria wa kwanza kusafiri na Air Tanzania kwenda Dodoma!
|
Baadhi ya wabunge kwenye safari ya kwanza ya @AirTanzania toka Dar kwenda Dodoma. Pongezi kwa Air Tanzania kwa huduma nzuri |
|
Mheshimiwa Waziri Mkuu akipokea boarding pass na akiaga kabla ya kuingia ndani ya ndege ambayo ililiacha anga la Dar es Salaam kuelekea Dodoma kwa mara ya kwanza leo (16 Januari, 2017) asubuhi. |
No comments:
Post a Comment