Shirika la Ndege la Taifa, ATCL limedhamiria kuboresha safari zake za anga kwa kutoa huduma bora ya haraka na kwa bei nafuu kwa kuwafikisha watanzania popote kwa kutumia Ndege mpya aina ya Bombandier.Shirika pia linashirikiana na wadau wote kutangaza vivutio na Utamaduni wa Mtanzania kwa kudumisha safari za ndani ya Nchi kwa ufanisi mkubwa, Mkurugenzi wa shirika hili Mhandisi Ladislaus Matindi amesema "Air Tanzania ni ya Watanzania na wako tayari kuwatumikia watanzania kwa kutoa huduma bora"
No comments:
Post a Comment