focusmedia Search This Blog

Monday, October 10, 2022

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEUFUNGUA MSIKITI WA MASJID MUBARAK KIBOJE MUEMBESHAURI WILAYA YA KATI UNGUJA NA KUJUMUIKA KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja  7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo 
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja  7-10-2022 
  • USTADH.Ali Hassan Abdalla akisoma risala ya Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakati wa ufunguzi wa Msikiti huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-10-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo. 
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Viongozi wa Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja, alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti huo na kujumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi wake na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid. 
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 7-10-2022, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo. 

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri 7-10-2022

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.

No comments:

Post a Comment