Chuo hiki kimejengwa kwa hisani ya Serikali ya Watu wa China kwa gharama ya Shilingi bilioni 22.4 ikiwa ni pamoja na majengo, samani na vifaa vya kufundisha na kufundishia
Chuo hiki kina madarasa 19 na karakana 9, kitakuwa na uwezo wa kuchukua vijana takriban 400 kwa awamu moja
No comments:
Post a Comment