Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imefanikiwa kushinda kesi 9 kati ya 10 zilizokuwa zikiendelea katika mahakama mbalimbali nchini dhidi ya walipa kodi wake na kufanikiwa kupata kiasi cha takribani Bilioni 16.9. Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Richard Kayombo amewapongeza Mawakili na wanasheria wa ndani kwa kuonyesha uzalendo wa dhati kwa Taifa “Tumeshinda kwa juhudi za kizalendo za Timu nzima ya Wanasheria na watumishi wa TRA”
No comments:
Post a Comment