Novemba 30 mwaka jana Rais John Magufuli aliagiza kiasi
cha shilingi bilioni nne kilichopangwa kutumika katika shamrashamra za siku ya
Uhuru kitumike katika kazi ya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini
Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 ili kuiunganisha barabara hiyo na ile
ya Mwenge – Tegeta yenye urefu wa KM 12 .Huu ni muonekano wa sasa baada ya
maamuzi ya Rais Dr. Pombe Magufuli pamoja na kupendeza kumerahisha sana foleni
iliyokuwa ikisumbua siku zote.
No comments:
Post a Comment