wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi Kijiji Cha Tula Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo akiawa njiani katika moja ya mikutano ya barabarani kwa waliojitokeza Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi wakati Rais alipowasili Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.
Wananchi wa Itigi na Manyoni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida,wakiondoa kitambaa kuashiria Kufunguliwa Rasmi kwa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi kwa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017
No comments:
Post a Comment