Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo jinsi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (E
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufunfungua ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali akifungua kitambaa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika eneo la chanza cha maji katika Ziwa Tangangika wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma
wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma wakisililiza Hotuba nzuri kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika oicha ya pamoja na vijana wa JKT mara baada ya kuhutubia wananchi wa mji wa kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma
No comments:
Post a Comment