![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi tarehe 11 Agosti, 2022. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mtwango Mkoani Njombe tarehe 11 Agosti, 2022. |


















No comments:
Post a Comment