Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha Nyakanazi, Makampuni ya Wakandarasi waliojenga kituo hicho, Mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa, wakati wa ziara ya kukagua kituo cha hicho na njia ya kusafirisha umeme kutoka Mradi wa RUSUMO hadi kituo cha Nyakanazi, Julai 6, 2022, mkoani Kagera |
No comments:
Post a Comment