focusmedia Search This Blog

Saturday, September 7, 2019

KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UGANDA LAFUNGWA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akifunga kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania Septemba 6-7, 2019 ambapo Kongamano hilo liliwahusisha wafanyabishara wa nchi zote mbili na yalifunguliwa Septemba 6, 2019 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. Picha zote  na Matokeo Chanya+
Wafanyabiashara wa Tanzani na Uganda wakifuatilia.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Edwin Rutageruka akielezea mambo machache wakati wa kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania Septemba 6-7, 2019.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) wakifuatilia kwa makini.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye.
Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wakifuatilia tukio hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye akihutubia wakati wa ufungaji wa kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania Septemba 6-7, 2019 ambapo Kongamano hilo liliwahusisha wafanyabishara wa nchi zote mbili na yalifunguliwa Septemba 6, 2019 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.  
Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wakifuatilia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment