MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Felix Tshisekedi wa Congo kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou wa NigerMakamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiingia kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe kwenye Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania aliouongoza kushiriki mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika
No comments:
Post a Comment