Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe
Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa, Mke wa Rais wa Zimbwabwe Mhe. Amai
Mnangagwa(Wapili kutoka kulia),Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi (Wapili kutoka
kushoto),Waziri wa Mambo ya nje wa Zimbabwe Mhe.Sibusiso Moyo(Wakwanza
kulia) pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Tanzania Balozi Grace Martin kabla
ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019 |
No comments:
Post a Comment