![]() |
|
Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka 93, na familia yake
wako kizuizini baada ya jeshi la Zimbabwe kuendesha mapinduzi Nchini humo
|
![]() |
| Mkuu wa jeshi la Zimbabwe, Mkuu Constantino Chiwenga , aliempinga Mugabe juu ya uamuzi wake wa kumtimua makamu wa rais Emmerson Mnangagwa,imetangazwa hali ya hatari Nchini Zimbabwe |
![]() |
|
Vyombo vya habari vya Zimbabwe vinasema kuwa makamu wa rais
Emmerson Mnangagwa (suti ya bluu) alikuwa amerejea nchini na atachukua
udhibiti 'kama kwa jeshi litamtaka afanye hivyo'
|
![]() |
|
Vifaru via kijeshi vinaonekana na askari wenye silaha kwenye
barabara inayoongoza Ofisi ya Rais Robert Mugabe huko Harare, Zimbabwe
|
![]() |
![]() |
| Usiku wa kuamkia Jumatano |















No comments:
Post a Comment