Mwanasheria wa zamani wa CUF na kiongozi wa kwanza mwanamke wa kambi ya upizani bungeni Fatuma Magimbi amefichua kile kilichomfanya kukihama chama cha CUF
"Nilishuhudia rushwa ya wazi na upindishwaji wa jambo hili na viongozi wa chama hadi leo nasikitika sana,kauli mbiu yetu ilikuwa dhahili kupingana na jambo hili nasikitika hadi leo" Amesema
"Wakatitukianza hapakuwa na jambo hili tulisimamia uadilifu na kupinga Ruswa kwasasa limekuwa mno na si kwa CUF tuu bali kwa kila chama.." alifafanua mpiga chapa wa kwanza wa hayati Karume kuanzaia mwaka 1965 Bi Fatuma Magimbi
No comments:
Post a Comment