focusmedia Search This Blog
Wednesday, October 25, 2017
Thursday, October 19, 2017
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASHUHUDIA MAJADILIANO KATI YA TANZANIA NA TIMU YA WAWAKILISHI WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD INAYOMILIKI MIGODI YA MADINI HAPA NCHINI YAMEKAMILIKA NA KUTIWA SAINI TAREHE 19 OKTOBA, 2017
PICHA NA MAELEZO NA IKULU
Tuesday, October 17, 2017
Monday, October 16, 2017
AGIZO LA RAIS KUJIUNGA NA MFUMO WA TRA WA MALIPO KIDIGITALI HADI OKTOBA 16 2017 NI MABENK 5 TU KATI YA 45 YALIYO TIMIZA KWA 100% AGIZO HILO
BANK M,CANARA BANK,CHINA BANK,EXIM BANK,HABIB BANK hawa ndio waliotekeleza 100%
agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Juni 1 2017 kujiunga na Dirisha la
ulipaji kodi kidigitali,Muda waliopewa Mabank ulikuwa mwishoni mwa September taarifa zinabaini Ifikapo Tarehe 20 Oct 2017 Makampuni yote ya simu MNO kasoro SMILE na SMART ambapo yanachunguzwa yatakuwa live kulipa kodi kwa mfumo mpya wa Kidigitali.
Saturday, October 14, 2017
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KUZIMA MWENYE, NYERERE DAY NA WIKI YA VIJANA ZANZIBAR 14/10/2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikvishwa skafu baada ya kuwasili kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa familia ya Mwalimu, Mhe. Makongoro Nyerere wakati akiwasili kwenye sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakiteta jambo wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Vijana wa Halaiki wakitumbuiza kwenye sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Vijana shupavu sita waliokimbiza mwenye wa Uhuru mwaka 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya kuhitimishwa kwa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na wakimbiza mwenge wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga wananchi baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.PICHA NA IKULU.
Wednesday, October 11, 2017
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA MASENETA WA BARAZA LA MAREKANI NA H.H. PRINCE KALIM AL-HUSSAYNI AGA KHAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 11,2017
PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Posts (Atom)